Tovuti za Kisasa kwa Ukuaji wa Biashara Yako Mtandaoni
Tunatoa huduma bora za kutengeneza tovuti kwa ajili ya biashara, taasisi, shule, blogu na maduka ya mtandaoni. Tunakusaidia kujenga uwepo wa mtandaoni wenye mvuto, kasi, na unaoaminika ili kuwafikia wateja wengi zaidi ndani na nje ya Tanzania.
Huduma zetu za Web Design zinajumuisha:
- ✅ Usajili wa Domain – Tunakusaidia kupata jina la tovuti linalofaa biashara yako (mfano: .co.tz, .com, .org n.k.)
- ✅ Hosting ya Tovuti – Tunatoa huduma ya kuhifadhi tovuti yako kwenye server salama na ya kuaminika.
- ✅ Barua Pepe za Kibiashara – Tunatengeneza barua pepe rasmi zenye jina la kampuni yako (mfano: [email protected]) kwa ajili ya mawasiliano ya kitaalamu.
- ✅ SEO (Search Engine Optimization) – Tunaboreshaji tovuti yako ili iweze kuonekana kwenye nafasi za juu katika injini za utafutaji kama Google, hivyo kukusaidia kuvutia wateja wengi zaidi mtandaoni.
🎯 Vifurushi Mbalimbali kwa Mahitaji Tofauti
Tuna vifurushi tofauti vya kutengeneza tovuti kulingana na aina ya mradi au biashara unayoendesha. Iwe unahitaji tovuti rahisi ya kuonyesha huduma zako au duka kamili la kuuza bidhaa mtandaoni (eCommerce), Mwengo Solutions iko tayari kukuhudumia kwa ubora wa hali ya juu.
📞 Omba Bei au Ushauri
Kwa maelezo zaidi au kupata quotation ya kutengeneza tovuti, tafadhali wasiliana nasi moja kwa moja kupitia:
📧 [email protected]
📞 +255763065418
